KIMENUKA...Iran Yaanza Uzalishaji wa Ndege Mpya za Vita Kwa Wingi...

Iran  imeanza kutengeneza kwa wingi ndege zake ambazo kila kifaa kimetengenezwa nchi umo....Hii sio ndege ya kwanza kutengeneza na Iran lakin zilizopita baadhi ya vifaa viliagizwa nchi nyingine maana huwez masta kila kitu....Ndege hii kwa muonekano inafanana na US made F-5 fighter jet lakin hii ni tofauti kwan ina HUD,Avionics za fourth generation,radar na Engine ambazo zote zimetengenezwa nchini Iran....

Kwa muelekeo huu tutegemee Iran itakua vizur mbelen kwa kuboresha zaidi na kua na ndege za kisasa zaidi mfano mzuri Iran walianza na Scud missile imported from North Korea ila sasa wanatengeneza Missiles tofauti na bora zaidi kuliko Scuds in term of precision and destruction power..

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad