List ya Vyakula Unavyotakiwa Kuepuka Kama una Upungufu wa Damu


List ya Vyakula Unavyotakiwa Kuepuka Kama una Upungufu wa Damu

Sukari iliyoongezwa kwenye vyakula na vinywaji

Nafaka zilizokobolewa

Maziwa yaliyosindikwa kiwandani

Soda: soda ina sukari nyingi, haina virutubisho vyovyote na huzuia ufyonzaji wa madini ya chuma mwilini.

Kahawa na chai nyeusi: unywaji wa kahawa kupita kiasi huzuia ufyonzaji wa madini ya chuma mwilini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad