Majizzo Amkumbuka Ruge "Game Haina Ushindani Bila Wewe"

Majizzo Amkumbuka Ruge "Game Haina Ushindani Bila Wewe"

CEO wa EFM Radio na TVE Majizzo ameandika ujumbe kumhusu Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa CMG Ruge Mutahaba ambaye yupo nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu.

Majizzo ameandika hivi katika Instagram akaunti yake >>>“Get well soon my brother!. We miss you sana!… game haina challenge now without you…”



Watu mbalimbali wamekuwa wakimuombea Ruge Mutahaba apone haraka na wengi wanadai kwamba pengo lake linaonekana kwenye Tasnia ya Muziki huku Wasanii wengi wakimtaja Ruge kama chanzo cha maendeleo yao kwenye game ya Muziki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad