Makamu wa Rais Samia Suluhu amtembelea Fredrick Sumaye nyumbani kwake na kumpa pole

Makamu wa Rais Samia Suluhu amtembelea Fredrick Sumaye nyumbani kwake na kumpa pole
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassa  leo amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi.

Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad