Mama Samia, Anna Mghwira na Viongozi Wengine wa Serikari Washiriki Kuaga Mwili wa Mama Mercy Mengi

Mama Samia, Anna Mghwira na Viongozi Wengine wa Serikari Washiriki Kuaga Mwili wa Mama Mercy Mengi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan aungana na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili Mama Mercy Anna Mengi, KKKT, Dayosisi ya Kaskazini – Usharika wa Moshi Mjini, leo Jumamosi, Novemba 10, 2018.


Mama Samia aliongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, wabunge, mawaziri, viongozi wa dini katika kuaga mwili huo ambao umepelekwa nyumbani kwake kwa ajili ya mazishi.


Aidha, Viongozi hao wamepata fursa ya kumpa pole, Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad