Mwanadada Mange kimambi amewatolea povu na kumkingia kifua mwanadada Hamisa Mobeto baada ya watu kuwa wakisema amekuwa akitumia njia mbalimbali ili kujionyesha kuwa ana umbo kubwa wakati sio ukweli,
Kuna baadhi ya makundi hata wamekuwa wakimshambulia na kumwambia kuwa hawezi kupiga picha bila kujibinua au kuji-edit katika simu yake kabla ya kuweka picha hizo latika mitandao ya kijamii.
katika ukurasa wake wa instagram,mange aliweka picha mbili tofauti na kusema kuwa wanaosema amekuwa akijibinua sio kweli kwa sababu hata picha mabazo zimekuwa zikipigwa hivi karibuni ziekuwa zikipigwa na mtoto wake mdog wa mwisho.