Mbaroni Kwa Tuhuma za Kumuua Mwanaye


Polisi nchini Kenya inamshikilia Mercy Chepngeno(22) kwa kumuua mwanaye wa kiume wa mwaka mmoja na kuutupa mwili wake kwenye jalala eneo la Kuresoi, Kaunti ya Nakuru

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Polisi, Mercy amekiri kufanya kitendo hicho na anasubiri kufikishwa Mahakamani baada ya uchunguzi kumalizika

Aidha, Polisi haijaeleza iwapo Mercy amesema sababu za kufanya kitendo hicho hapo jana Jumamosi Novemba 03

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad