Mbunge Msukuma Azidi Kukomalia Bangi “Mnaosema Bangi Ina Matatizo Mtuambie Ina Matatizo Gani?”

Mbunge Msukuma Azidi Kukomalia Bangi “Mnaosema Bangi Ina Matatizo Mtuambie Ina Matatizo Gani?”
Mbunge wa Geita Joseph Musukuma ameitaka Serikali ieleze kwanini inazuia biashara ya bangi huku ikidai kwamba bangi inamatatizo hivyo ieleze ni matatizo gani ikizingatiwa kuwa zipo baadhi ya nchi zimeruhusu matumizi yake ambapo imewezesha nchi hizo kujipatia kipato kwa kukusanya kodi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad