Wanamuziki Billnas na mwenzake Barnaba wameiponda miguu ya dogojanja na kudai kwamba jamaa ana miguu membamba kama chelewa.
Billnas alienda mbali zaidi kwa kudai kwamba jamaa ashukuru Mungu mtoto wake Krish anasoma international school bila hivyo kama angekuwa anasoma Kayumba halafu siku akaaigizwa chelewa basi dogo janja angeamka asubuhi angejikuta hana miguu