Msanii wa Muziki Kutoka nchini, Nigeria, Mr. Eazi Aomba Kutumbuiza Wasafi Festival


Msanii wa muziki kutoka nchini, Nigeria, Mr. Eazi ameomba kutumbuiza kwenye Wasafi Festival.

Harmonize kutokea WCB ndio ameweka wazi mazungumzo yake na Mr. Eazi kupitia mtandao ambapo alikuwa akimueleza kuhusu nia yake ya kutaka kutumbuiza kwenye tamasha hilo.

Hivi karibuni akiwa hapa nchini Mr. Eazi alieleza kuwa ameshafanya ngoma na Harmonize na muda wowote itatoka.

Pia mradi wake uitwao M Pawa ambao umelenga kuwasaidia wasanii wapya 100 barani Afrika, alipata ushauri kutoka kwa Harmonize, Diamond na Ben Pol.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad