Msanii wa WCB Aachwa Solemba na Mapromota Uchwara Nchini Kenya

Msanii kutoka kundu la WCB , Harmonize amejikuta akishindwa kupanda jukwaani kutumbuiza mjini Eldoret nchini Kenya baada ya Promota aliyemleta kushindwa kumalizia mkwanja wake kama walivyopatana.

Harmonize akielezea sakata hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameeleza kuwa Promota huyo alipotea dakika za mwisho jambo ambalo lilizua taharuki kwa watu ambao walikuwa wameshalipia kiingilio kumtazama.

Harmonize usiku wa kuamkia leo alitakiwa kutumbuiza kwenye tamasha hilo la muziki mjini Eldoret kabla ya kuzinguliwa na promota huyo.

BINAFSI NAJUA KIASI GANI PESA INATAFUTWA KWA UGUMU BUT KWA MAPENZI YENU MLIJITOA KUJA KUNI SUPPORT SIO KWASABABU MIE NI SPECIAL SANA….!!! NI KWA UPENDO WENU TUU ILA KILICHONISIKITISHA NI PROMOTERS KUCHUKUA PESA ZA WATU WASIO PUNGUA 4000K THEN WAKASHINDWA KUJA KUMALIZIA PAYMENT ILIYOBAKI NA KUKIMBIA HII INAUMIZA SANA…!! (1) NI DALILI YA KUNIVUNJIA HESHIMA NA UAMINIFU KWA MASHABIKI ZANGU (2) IMENIUMIZA KUONA WATU WALIOJITOA KULIPA VIINGILIO VYAO JUST FOR ME WANADHULUMIWA MWISHO KABISA…!!! NISEME SAMAHANI #ELDORET 🙏🙏 NEXT TIME NITAHAKIKISHA TUMELIPWA DOO YOTE KABLA NI COME TRUST ME I’M SO….!!! DISAPPOINTED AND I LOVE YOU ❤ AND I WAS EXTRA READY 👹👹 I DID#SOUNDCHECK AND EVERYTHING THIS IS TO BAD
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad