Msemaji wa Simba Haji Manara Atoa Siri ya Shafii Dauda Kuomba Kazi Wasafi TV


Msemaji wa Simba @hajismanara Aingia katika Bifu zito na @shaffih , Kupitia Ukurasa wake wa instagram, Manara Atoboa Siri kwa Kuandika Haya

>Tunajua Shaffih unatumika na Maadui wa Simba kutaka kutuvuruga kusudi ili kubalance na cc tuonekane tuna mgogoro na wachezaji wetu!!
Hatuna Niyonzima yupo camp now na leo atacheza ikimpendeza kocha dhidhi ya Bata Bullets,
Hv mtu muungwana kabisa unawezaje kuandika uongo na kufikia kumvalisha jezi ya team nyingine mchezaji aliye na mkataba na klabu yetu kama c uchochezi na uhuni wa kishamba?
Mm najua uliomba ajira pale @wasafitv na wakakutalia mbona hatujapost umevaa T-shirt ya @diamondplatnumz
Unatutafuta ugomvi wa kusudi na mabosi zako tunaowaheshimu sana ila soon Simba itafanya maamuzi makubwa juu yako na Juu ya radio na TV unayoifanya kazi
Au kwa kuwa washabiki wa Yanga walitaka kukupiga ndio maana huandiki habari zao za wachezaji kudai Mishahara ya wachezaji?

Simba haina ujinga wa kupiga Waandishi ila tunazo njia sahihi za kukunyoosha...Mara kadhaa umekuwa unaandika upuuzi against us tunakuvumilia tu,sasa sitakuacha.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad