Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya.

Ameanguka baada ya stage aliyokuwa anatumia ku-perform kuporomoka.

I'm 100% sure hii inaweza kuwa ni sabotage. nalisema hili kwasababu siku zote mkenya hapendi kuona mtanzania ana prosper katika kazi zake.

Kuna baadhi ya blind patriots wa kikenya wanaumia sana kwenye nafsi zao wanapoana vijana wanamziki toka tanzania wanapata kandarasi ya ku-perform kwenye events kubwa za kenya.

Inawezekana wanafanya hivi ili kupunguza kasi ya wanamuziki wa tz kwenda kufanya show kenya.ifahamike tu kwamba hata diamond platnumz ana ratiba ya kupeleka wasafi festival ndani ya kenya na mipango yote ipo well organized.

But pia yawezekana ikawa ni sabotage within kenyan music promoters and event organizers themselves. yaani utakuta wakenya wao kwao wanafanyiana hujuma since huwa hawapendani.

Pole sana aslay.

TAZAMA VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad