Mzungu wa Harmonize Amtahazarisha Wolper "Sijaachana na Harmonize na Ntarudi Tanzania Hivi Karibuni"

Mzungu was Harmonize Amtahazarisha Wolper "Sijaachana na Harmonize na Ntarudi Tanzania Hivi Karibuni"

Mwanadada Sarah ambae ni mpenzi wa Harmonize amefunguka na kutangaza katika vyombo  katika ukurasa wake kuwa watu wengi wamekuwa wakimuuliza kuhusu mahusiano yake na Harmonize hasa ukizngatia kuwa harmonize amekuwa akionekana kuwa karibu sana na Jackline Wolper hivi karibuni.

Sarah anasema kuwa watu wasidanganyike wala kutaka kuendelea kumuuliza maswali kwa sababu ukweli ni kuwa bado hawajaachana na kuwa wapo pamoja na soon anakaribia kurudi Tanzania.

A lots of people ask me if we are still together …this is the answer, yes ….see you soon bab..

Hata hivyo Harmonize na Wolper wameonekana kuwa karibu sana kwa kipindi hki cha wasafu festival hata kutangaza kuwa walishamaliza bifu lao na kwa sasa wao ni marafiki na hakuna ugomvi tena.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad