Ngoma Nzito: Basata wakanusha kuufungulia wimbo wa Rayvanny na Diamond


Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limekanusha kuufungulia wimbo wa Rayvanny na Diamond unaokwenda kwa jina la Mwanza. 


Utakumbuka wimbo huo ulifungiwa kutokana na kukiuka maadili na wasanii hao kutozwa faini pamoja kuamuriwa kuuondoa wimbo huo YouTube, hata hivyo hapo jana wimbo huo ulirejea tena kwenye mtandao huo kwa upande wa Tanzania baada ya kutokuwepo kwa muda. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad