Nikiwekwa Ndani Sababu ya Mashoga Nisiletewe Chakula wala Maji Nitaishi Njaa Adi Kazi ya Mungu Itimie- Dudu Baya

Nitawekwa Ndani Sababu ya Mashoga Nisiletewe Chakula wala Maji Nitaishi Njaa Adi Kazi ya Mungu Itimie- Dudu Baya
Msanii wa muziki wa hip hop, Dudu Baya amefunguka kwa kudai kwamba ameitwa na Mkuu wa Upelelezi Polisi Kinondoni kwaajili ya kuhojiwa kuhusiana na list za watu wanaodaiwa kuwa ni mashoga ambazo amekuwa akizisamba mtandaoni.

Kupitia akaunti yake ya instagram ametuma video yake akidai kuwa endapo atawekwa ndani ndugu yake yoyote asimpelekee chakula wala maji.

"Nipo njiani kuelekea kituo cha polisi ostaybey baada ya kuitwa na mkuu wa upelelezi na kama nikiwekwa ndani kwasababu ya hawa mashoga sitaki ndugu yangu yoyote uje kituo cha polisi kuniletea maji wala chakula nitashinda na kulala  njaa adi kazi ya mungu itimie Amen"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad