Pamoja na Yote Ninayopitia Aunt Ezekiel Ajawahi Kuniacha- Wema Sepetu

Pamoja na Yote Ninayopitia Aunt Ezekiel Ajawahi Kuniacha- Wema Sepetu
STAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa pamoja na mambo mengi ambayo yamekuwa yakimtokea, rafiki yake wa kweli ni  Aunt Ezekiel kwani hajawahi kumchoka na kumtenga kama wafanyavyo wengine.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Wema alisema kuwa ana marafiki wengi lakini baadhi ni wanafiki ila Aunt ana upendo wa kweli kwake. “Nimegundua kuwa rafiki wa kweli kwangu ni Aunt, amenipa faraja ya kweli kipindi chote cha matatizo, naamini ana upendo na mimi,”alisema Wema.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad