Petit Man Aamua Kumficha Wema Sepetu

Petit Aamua Kumficha Wema Sepetu
Mdau wa muziki wasiku nyingi Petiti Man amefunguka na kusema kuwa hata kama angejua nini kuhusu Wema Sepetu hawezi kusema kitu kwa sasa.

Petit na Wema wamekuwa marafiki kwa muda mrefu kiasi kwamba kuna sri nyingi sana kati yao wamekuwa wakitunzia na hata kufikia hatua ya kuwa kama kaka na dada.

Hata baada ya kupata skendo nyingi katikka mitandao ya kijamii na kusemwa kuwa katika nyumba aliyokuwa akikaa mwanzo kuwa amehama, mwanadada huyo kwa sasa hajulikani yuko wapi kwa sababu pia amekuwa kimya katika mitandao ya kijamii.

Akijibu swali la kuhusu kule alipo Wema, Petit anajibu “nina urafiki na wema kwa zaidi ya miaka 12 sasa,  swala la Wema kuwa kimya sana sidhani kama hiyo ni ishu sana ,ninachojua kuwa Wema ni mtu mzima sana na hata kama ana matatizo siwezi kuyazungumzia hapa sasa hivi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad