Q-Chief amchana T.I.D mitandaoni Live

Q-Chief amchana T.I.D mitandaoni Live
Msanii Q-chief ametoa yake ya moyoni kwa msanii mwenzake T.I.D  kwa madai kuwa msanii mwenzake huyo amekuwa na tabia mbaya  ya kunafikia wenzake na kwa tabia ya rafiki yake huyo amemchoka na ndio maana ameamua kumchana na kumwambia ukweli.

Katika post yake hiyo ambayo aliweka picha ya T.I.D , q-chief alisema kuwa amechoka kunyamaza kimya na  anadhani sasa ni muda mufaka wa kuambizana ukweli.

Q-chief aliandika” a big snake, a rate snitch but most of all a fae nigga muda umefika wa kuambizana ukweli staki masnitch , nimeanza na wewe fuck deep sea @tidmusic ”


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad