MWANAMUZIKI wa Bongo Flava, Aboot Racka ‘Quick Rocka’ amefungukia madai ya kutoka kimapenzi na Video Queen Lilian Kessy ‘Kim Nana’, ambaye inadaiwa ni mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Quick Rocka alisema: “Ni kweli namfahamu Kim Nana kama mtu niliyekuwa nafanya naye kazi tu lakini hakuna mambo ya mapenzi kabisa.”
Quick Racka Afunguka Kuhusu Uhusiano Wake wa Kimapenzi na Kim Nana
0
November 17, 2018
Tags