Rais Magufuli amtumbua Dkt Tizeba na Mhe Mwijage, Waitara ala shavu

Rais Magufuli ametengua uteuzi mawaziri wawili ambao ni Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage , nafasi zao zikichukuliwa na Japhet Hasunga pamoja na Joseph Kakunda. Aidha Rais Magufuli amemteua Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara kuwa Naibu Waziri TAMISEMI.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad