Rais Magufuli Atoa Milion 50 Kuchangia Matibabu ya Ruge Mutahaba Mkurugenzi wa Clouds Media


Credit to @cloudsfmtz : #MagufuliNaRuge: Upendo wa Baba na Mwana
.
@sebamaganga anaeleza kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt John Magufuli alipopata taarifa za hali ya kiafya ya #RugeMutahaba alisikitika sana na aliamua kumshika mkono kama baba afanyavyo kwa mwana wa kumzaa.
.
" mshirikishe #RugeMutahaba kwenye maombi.... Tunamshukuru Rais kutokana na yeye mara baada ya kupata taarifa hizi alinyoosha mkono kwetu na kutuambia changamoto za kiafya ni kubwa na la awali ambalo anataka kulifanya ni kuchangia mfuko wa kiafya na changamoto zisiwe gharama za kimatibabu na kutoa dola elfu 20,000 (karibu million hamsini)" @sebamaganga.
.
Sisi tunamshukuru sana Rais Magufuli kwa kuwa nasi kwenye kila jambo. Cc: @ikulu_mawasiliano

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad