Rapa wa Marekani Tekashi 6ix9ine amewafukuza wafanyakazi wake wote ikiwa ni pamoja na meneja wake, wakala na mshirika wa umma na pia alichukua uamuzi wa kuahirisha tarehe zake za show zilizobaki.
Rapa huyo mwenye umri wa miaka 22 alitangaza ishu hii katika moja ya video zake za Instagram na akisema kuwa wafanyakazi wa timu yake walikuwa wakitangaza show bila ya kumpatia taarifa na wameiba fedha nyingi kutoka kwake.
Mwishoni mwa video hiyo, 6ix9ine alibainisha kuwa albamu yake mpya ataiachia Ijumaa ijayo, Novemba 23, 2018
Rapa 6ix9ine Atimua Wafanyakazi Wake Wote Akiwemo Meneja Wake
0
November 16, 2018
Tags