Rapa 6ix9ine Atimua Wafanyakazi Wake Wote Akiwemo Meneja Wake

Rapa 6ix9ine Atimua Wafanyakazi Wake Wote Akiwemo Meneja Wake
Rapa wa Marekani  Tekashi  6ix9ine amewafukuza wafanyakazi  wake wote ikiwa ni pamoja na meneja wake, wakala na mshirika wa umma na pia alichukua uamuzi wa kuahirisha tarehe zake za show zilizobaki.



Rapa huyo mwenye umri wa miaka 22 alitangaza ishu hii katika moja ya  video zake  za Instagram na akisema kuwa wafanyakazi wa timu yake walikuwa wakitangaza show bila ya kumpatia taarifa  na wameiba fedha nyingi kutoka kwake.

Mwishoni mwa video hiyo, 6ix9ine alibainisha kuwa albamu yake mpya ataiachia Ijumaa ijayo, Novemba 23, 2018


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad