Rapper Mkubwa wa Marekani Rick Ross aka @richforever leo amempost Msanii @rosa_ree katika page yake ya instagram...ameweka picha kadhaa akiwa na chupa ya Belaire kwenye insta stories
Rosa Ree alikuwa ni msaniii wa kwanza kutoka Tanzania kuwa balozi wa Kinywaji cha Belaire na Baada ya mkataba wake kuisha akamrushia Diamond Platnumz kijiti ambae ndio balozi wa kipindi hichi