Rayvanny na Diamond Waichokonoa Basata Wairudisha Video ya ‘Nyegezi' You Tube Kimya Kimya

Rayvanny na Diamond Wairudisha Video ya Wimbo wao wa ‘Nyegezi' Mtandaoni
Ikiwa ni siku mbili tangu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny achukue maamuzi magumu ya ku-block wimbo wake usitazamwe Tanzania baada ya kuamriwa kufanya hivyo na BASATA, hatimaye msanii huyo ameurudisha tena wimbo huo kwenye mtandao wa YouTube.



Video ya wimbo wa Mwanza mpaka sasa imetazamwa zaidi ya mara milioni 2.4+ (Views milion 2.4) na bado hakuna tamko kutoka pande zote mbili yaani BASATA na wahusika WCB.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad