Refa Mwanamke wa Kitanzania Aula AFCON ya Wanawake..

Mtanzania achaguliwa kuchezesha Afcon ya Wanawake

Mwamuzi wa Tanzania Jonesia Rukyaa amechaguliwa kuchezesha Fainali za Afrika za Wanawake zitakazofanyika nchini Ghana.

Rukya amechaguliwa katika orodha ya Waamuzi wa katikati akiwa ni Mtanzania pekee. Jumla ya Waamuzi wa katikati 13 wamechaguliwa na Waamuzi wasaidizi 12.

Fainali hizo pia zitatumika kupata timu zitakazowakilisha Afrika kwenye Fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake zitakazofanyika mwakani nchini Ufaransa.

Washindi Watatu wa juu ndio watafuzu kucheza Kombe la Dunia.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad