Roma kafunguka " Natamani Ruge angekuwepo, bila kufeki pengo lake linaonekana"

Mkali kutoke kwenye kundi la ROSTAM, Roma amefunguka kuhusu kuahirishwa kwa show ya Fiesta grand finale iliyokuwa ifanyike Leaders Club DSM siku ya November 24, 2018 pamoja na kumzungumzia Ruge Mutahaba ambapo amesema ameliona pengo la Ruge na anatamani angekuepo.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama ROMA akifunguka.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad