Rosa Ree Aja Kivingine..Adaiwa Kuchukua Kionjo cha Mwanamuziki wa Kenya


Rapper Mkali wa Kike Bongo Rosa Ree Ameachia Wimbo Mpya unaokwenda kwa jina la Banjuka

Wimbo huo umekuwa wa tofauti kwake na nyimbo zake zingine ambazo ni za kigumu...Kwenye Comment huko mitandaoni watu wameusifia kuwa ni mzuri huku wengine wakidai amesample kiitikio kwenye wimbo wa DNA wa Banjuka kutoka Kenya...



Bonyeza Play Kuusikiliza na wewe Hapa Chini:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad