Siku Nikifa Utanisifia Sana Lakini Sitakusikia - Dogo Janja


Msanii wa Bongo, Dogo Janja amechapisha ujumbe mtandaoni amezua mjadala mpana miongoni mwa mashabiki wake.

Dogo Janja ameeleza kuwa ni vyema watu kupenda wakiwa hai na sio kungoja hadi kifo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

Siku nikifa utatoa machozi lakini sitayaona, Utaniletea maua lakin sitayapokea, Utanisifia sana lakin sitakusikia, Utanisamehe makosa yng lakin sitajua, Utanimiss sana lakini sitafahamu utauzunika sana lakini sitokuona.

Hivi karibuni Dogo Janja alitoa wimbo unaokwenda kwa jina la Imani akieleza yale magumu aliyopitia na anayopitia kwenye maisha yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad