Spika Ndugai Amtoa Nje Suzan Kiwanga, Ampiga Marufuku Kuhudhuria Vikao Hadi Mwakani


Spika wa Bunge, Job Ndugai jana alimtoa nje ya bunge, Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga (Chadema) na kumtaka kutohudhuria vikao vya bunge hadi Bunge la Bajeti  mwakani baada ya kuingilia hoja ya Mbunge wa Tandahimba Katani Ahmed Katani aliyekuwa akikanusha kujiuzulu ubunge.


Ndugai amemtaka Kiwanga kutohudhuria kikao cha mkutano wa bunge uliyobaki ambao, huku akimtaka kutoshiriki mikutano ya kamati za bunge na michezo ya bunge.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na Posho haitolewi bila kuhudhuria
    kwa Lugha rahisi ni kwamba Hutumlipi asiye Fanya Kazi katika Awamu hii yetu.
    Hapa kazi tu....!!!!

    Discipline is call of the Day

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad