Uingereza:Mtaa Ulipo Ubalozi wa Saudi Arabia Wapewa Jina la Khashoggi


Mtaa huo uliopo katika Jiji la Westminster umepewa jina hilo ili kumuenzi Mwanahabari aliyeuawa kwenye Ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki, Jamal Khashoggi
-
Mabadiliko haya yanaulazimisha Ubalozi wa Saudi Arabia nchini England kubadili anuani yake ili kuliweka jina hilo
-
Jamal Khashoggi alikuwa akiukosoa utawala wa Kifalme wa Saudia kupitia kazi yake ya Uandishi wa Habari
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad