Ukaribu wa Nandy na Daimond Wazua Gumzo Mitandaoni

Ukaribu wa Nandy na Daimond Wazua Gumzo Mitandaoni
Katika Tamasha la OneafricanmusicFestival2018 ambalo lilifanyika jana Dubai walifanikiwa kupafomu wasanii hao kutoka Tanzania ambao ni Diamond Platnumz, Nandy pamoja na Vanessa Mdee na kufanikiwa kufanya vizuri sana kwenye tamasha hilo.



Mbali na wasanii hao wawili kufanya vizuri lakini pia alionekana msanii mwingine kutoka Tanzania Nandy akiwa karibu na Diamond na hadi kufikia hatua ya Nandy kufaa cheni za Diamond kitu abacho kimeacha maswali mengi sana kwa mashabiki wa Diamond na Mashabiki wa Nandy wakianza kuulizana kulikoni ?

huku Diamnd akiandika kwenye baadhi ya video hizo ” Mama enu”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad