Kufuatia taarifa iliyotolewa mapema jana na gavana ya benki kuu ya Tanzania Pro Florens Luoga juu ya uwepo wa oparesheni maalum ya ukaguzi na udhibiti wa biashara haramu ya fedha za kigeni na ukiukwaji wa sheria katika uendeshaji wa biashara za ubadiilishaji wa fedha, Mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema amesema analaani operesheni hiyo kusimamiwa na wanajeshi kwani jambo hilo limeleta hofu kwa wananchi wa Arusha.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
GODI LESI... MIE NAONAGA ZILE SIGALA ZISIZIKUWA NA LEBO
ReplyDeleteHUWA ZINA WAZULU WATUMIAJI.. SASA WEWE SIJUI.
SHAULI YAKO HAPO KWA MH. GAMBO WAKISIKIA HALUFU WATAKUNYAKA LUPANGO.
HEMBU ZIWACHE KAMA BADO UNAZO NA UNAZITUMIA.. SIKU ILE PALE GETINI ILIKUWA MSHIKE MSHIKE UKASEPA.
SASA WA ZAIDI HAPO NI JERRY MURO NA MZEE GAMBO... CHUNGA DOGO IL=SIINGILIE KALA MADA KAMA MJOMBA.
Anko mbona sikukuona katika tafrija ya maskauti wenzako?
ReplyDeleteTena magwanda yamekutoa kweli Anko...!!!
Lema nasikia unauza gali Vintage Dodge..!!
ReplyDeleteTafazali niambie usajili na kilometa ili nikadirie bei Tufanye mazungumzo!!
Kuna Jamaa anasema inafika kama Laki tano unusu.
Nijulishe tufanye mazungumzo bei Poa.