VIDEO: Lema Akiwasha Kuhusu Idadi ya waliokufa Uvinza, Tuhuma za Zitto Zilitakiwa Zijibiwe Sio Kumkamata



Mbunge wa Arusha Mjini kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo Godbless Lema amelishauri jeshi la polisi kufuatia kile kilichotokea kuuwawa kwa wananchi uvinza ambapo mbunge wa kigoma Mh. Zitto kabwe aliongea na waandishi wa habari kuhusiana na hilo, na siku chache baadae kukamatwa, amesema kuwa ilipaswa jeshi la polisi wawe na vielelezo ili kuweka sawa mkanganyiko huo.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad