VIDEO: Mbunge Aliewasha Kuhusu Kucha Bandia Bungeni, Alivaa Sakata la Mashoga Asema haya


Kufuatia wimbi kubwa na Mashoga ambapo sakata hili limechukua hatamu na kuwa katika vinywa vya watanzania wengi ambapo mku wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda ameanza operesheni maalum kwaajili ya kukamata mashoga suala hili wananchi wengi wameonyesha kufurahishwa na uamuzi wa mkuu wa mkoa.

Kufuatia suala hilo Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Dodoma Fatma Hassan Toufiq amekemea na kuwataka wazazi kuwa mstari wa mbele kwenye kuhakikisha vijana wao wanakuwa kwenye malezo bora kwa kufuata maadili ya Tanzania.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad