VIDEO: Sakata la Ushoga, RC Makonda Amwaga Machozi Kanisani Mbele ya Waumini

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda leo Novemba 4, 2018 amemwaga machozi live akiwa katika Kanisa la Efatha jijini Dar Es Salaam akikemea maovu yanayoendelea ndani ya jiji la Dar Es Salaam.

RC Makonda amesema kuwa anaudhunishwa na maovu yanayoendelea ndani ya jiji la Dar Es Salaam kwani kila kona kumejaa mateja, mashoga na kila aina ya uchafu jambo ambalo linahitaji nguvu kubwa kukemewa na kila mtu.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad