Viwanja vya Leaders Club Vyafungiwa Rasmi na Serikali

Viwanja vya Leaders Club Vyafungiwa Rasmi na Serikali
Kutokana na malalamiko ya wazee, vikongwe na wagonjwa, Manispaa ya Kinondoni imepiga marufuku kufanyika shughuli zote zinazoambatana na matumizi ya vipaza sauti na muziki katika viwanja vya Leaders Club, taarifa ya Mkurugenzi wa Manispaa Aroni Kagurumjuli imeeleza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad