Wanaharakati wa Haki za Wanawake watoa msimamo wao sakala la rushwa ya ngono UDSM

Wanaharakati wa Haki za Wanawake watoa msimamo wao sakala la rushwa ya ngono UDSM
Mashikirika mbalimbali yakutetea Haki za Wanawake nchini Tanzania yamefunguka kuzungumzia sakata la Rushwa ya Ngono lililoibuliwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu UDSM, Dkt Vicensia Shule . Wanaharakati hao ambao walikutania katika ofisi za Women Fund ni Ana Henda kutoka LHCR, Ms. Mary Rusimbi kutoka Women Fund, Janet Mawinza kutoka WAJIKI pamoja na mashirika mengine ya kutetea haki za wanawake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad