Wapenda Computers "Serious Coders" Hawaivi Chungu Kimoja na Maisha ya Kijamii (Anti Social)

Maisha ya coders yanakuwaga ya ajabu sana, anaweza asitoke nje siku nzima yupo kwenye screen tu anachapa Jodi za kutengeneza program, web apps, hacking, n.k

Mara nyingi wale coders huwa hawawezi kujimix kabisa na society maana muda wote rafiki yao anakua ni computer asubuhi mpaka usiku computer inaamkiwa na kulalaliwa, Aina hii ya watu ni kazi mno kukuta wana marafiki na ikitokea wana marafiki basi hata hao marafiki zao wanakuaga ni coders wanaokosaga huo mda wa kujichanganya hivyo huo urafiki unakua tu ni wa kupeana madini ya coding.

Wenzetu wanawaitaga nerds, karibu kila coding language imo kicjwani, just imagine what it takes kukariri na kuzielewa coding languages kibao huku ukiyatoa maisha yako ya kijamii kafara, Ni watu ambao wanaleta mambo mazuri kwenye ulimwengu wa softwares, web apps, n.k lakini wanachokipitiaga sio mchezo

wengi wao hata kupata girlfriends inakuwa kazi pevu mana hata kuwa wacheshi ama saundi za kawaida tu ubakuta hawazijui kwasababu maisha yao yametawaliwa na kuchapa Jodi kila siku kila mda hivyo wana kosa mda kabisa wa kujimix.Anaweza kuambiwa na demu "I need some space" ye akazani space ya ma GB akamletea hard disk ya GB 500( utani)

Ni hayo tu , ushauri ni kwamba katika shughuli zako unazozifanya usizifanye aana kiasi cha kwamba zika affect maisha yako ya kijamii
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad