Wasafi vs Fiesta: Fid Q Awapiga Dongo Wasafi Festival "Acheni Ufala"


Joto la upinzani wa matamasha ya music kati ya fiesta na wasafi festival linazidi kupanda kiasi Kila upande unatumia aina yoyote ya promo ili mradi kuvuta watu.

Katika tangazo la clouds msanii mkongwe Fid Q ameonekanda akiwaponda wasafi kwa kuanzisha tamasha hilo
Fid Q amesema "yaani nyie mnasubiri watu wanaongoja si tufanye ndio nao wafanye afu mtulinganishe!? Acheni ufala".
kauli hii imezua mpasuko kwa mashabiki huku wangine wakiponda msanii kuchagua upande.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad