Watu Wasiojulikana Wafyatua Risasi na Kumteka Mfanyakazi wa Shirika la Misaada Nchini Kenya

Watu Wasiojulikana Wafyatua Risasi na Kumteka Mfanyakazi wa Shirika la Misaada Nchini Kenya
Kundi la watu wasiojulikana waliojihami wamemteka mwanamke mfanyakazi wa shirika la misaada, raia wa Italia kutoka kusini mashariki mwa Kenya, Polisi inasema.



Wanaume hao wanaoarifiwa kujihami kwa bunduki, “wamefyetua risasi kiholela” kabla ya kumteka msaidizi huyo mwenye umri wa miaka 23 kutoka mji wa pwani Malindi.

Watu watano pia wanaarifiwa kujeruhiwa na wamepelekwa hospitalini, mmoja kati yao akiwa yuko katika hali mahututi.

Haijajulikana wazi ni kwanini shambulio hilo limetokea na waliolitekeleza ni akina nani, polisi wanasema.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad