Zito Kabwe Afunguka "Viongozi Wakubwa Wengi wa Taifa Letu Wanaenda Mahakamani Kila Wakati"

Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe amepandishwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam na kusomewa mashtaka 3 ilikiwemo la kutoa maneno ya uchochezi yanayojenga chuki kwa Wananchi dhidi ya jeshi la polisi. Kesi inayomkabili imeahairishwa mpaka November 26 mwaka huu.

Zito alipata wasaa wa kuzungumza na waandishi wa habari na kusema;-

"Hili ni jambo la kawaida viongozi wote wakubwa wamepitia haya, nasikitika sana jana nimekosa mdahalo Hatuwezi kuendelea kuangalia viongozi wa juu wa upinzani kila siku wanawekwa ndani”

VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad