Zitto Kabwe alifikishwa mahakamani leo November 2 na kusomewa mashtaka matatu ya uchochezi, yenye nia ya kuleta chuki kwa Watanzania dhidi ya Jeshi la Polisi. Hata hivyo ,Zitto alikana mashitaka yote.
Zitto Kabwe Kaachiwa Kwa Dhamana ya milioni 10
0
November 02, 2018
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) ameachiwa kwa dhamana ya milioni 10 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na ametakiwa kufika tena Mahakamani Novemba 26, 2018.

Tags