Aliyekuwa Mpenzi wa Diamond Lyn Nae Kufata nyendo za Hamisa Mobeto

Mwanadada irene ambae ni video queen ambae pia aliwahi kupata umaarufu sana baada ya kusemekana kuwa amekuwa akitoka kimapenzi na mwanamuziki Diamond Platinumz amejikita rasmi katika maswala ya muziki huku akiachia wimbo wake mpya.

Wimbo guo unaokwenda kwa jina la chafu umeandikwa na msanii mwenzake marioo na kuwa directed na hanscana huku ikifanyika nchini Afrika ya Kusini.

 Mwanadada huyo anasema kuwa kwa sasa amemua kuijiingiza rasmi katika muziki na anaomba sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki zake, huku akisema kuwa ameshatambulika kisheria na BASATA hvyo hakuna haja ya mashabiki kuwa na wasiwasi na kazi zake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad