Askofu Kakobe amuomba RC Makonda kuwakutanisha viongozi wa vyama vyote vya siasa


Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zakaria Kakobe amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Dar kuwakutanisha viongozi wote wa vya siasa kama alivyowakutanisha viongozi wa dini.

Askofu Kakobe amesema kuwa kama ameweza kuwakutaniwa shao akifanya hivyo itakuwa vyema.

“RC Makonda kama umeweza kuwa na upako wa kuwakutanisha viongozi wa dini hapa basi tunaomba uwakutanishe viongozi wa vyama vyote wa siasa kukaa pamoja kama hivi . Mungu anasema jambo hilo likitokea ndipo alipo amuru baraka ,” amesema Kakobe.

Askofu Kakobe ameyasema hayo katika hafla iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda ya kupata chakula cha pamoja.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad