Ay Aanika Sura ya Mtoto Wake kwa Mara ya Kwanza


Ay Aanika Sura ya Mtoto Wake kwa Mara ya Kwanza
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya maarufu kama AY  aanika picha ya mtoto wake kwa mara ya kwanza.

AY ametuma picha hiyo katika ukurasa wake wa instagram katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mkewe  Remmy.

Happy Birthday My Sweetheart,Mke wangu & Mama wa Mtoto wangu,Birthday yako ya kwanza ukiwa Mama na tukiwa wote kwenye ndoa.Asante kwa kunipatia Kijana mpole #Aviel na Mungu Akufungulie Mema yake Uzidi kubarikiwa.

Kungekuwa na Neno zaidi ya NAKUPENDA ningeliweka hapa ila jua NAKUPENDA SANA...ASANTE SANA NA NAKUHESHIMU SANA.Enjoy your BIG DAY TO THE FULLEST 🙏🏿🙏🏿❤️❤️

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad