Baada ya Kauli ya Afande Sele Kuwa Wavuta Unga ni Mashoga Chid Benzi Amuwakia Ampa Masaa 19 Kuomba Radhi

Baada ya Kauli ya Afande Sele Kuwa Wavuta Unga ni Mashoga Chid Benzi Amuwakia Ampa Masaa 19 Kuomba Radhi
KUFUATIA kauli iliyotolewa na Msanii Mkongwe wa Hip Hop kutoka Morogoro, Afande Sele, ya kusema kuwa Wasanii wote wanaojihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya (Mateja) ni Mashoga.

Kauli hiyo ikapenya moja kwa moja mpaka kwenye uvungu wa Moyo na kumgusa Mkongwe mwenziye, Chid Benz, ambaye ni muathirika mkubwa wa madawa ya kulevya, na amesema anampa Afande masaa 19 ya kujitokeza hadharani na aombe radhi la sivyo!

Afande Sele alitoa kauli hiyo stejini usiku wa Disemba 02, kwenye tamasha la Wasafi Festival Morogoro, lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Stadium.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad