View this post on Instagram
Kwa Mara ya Kwanza katika Ukursasa takatifu wa kijamii wa IKULU @ikulu_mawasiliano leo wana sanaa tumeweza kuekwa…. Hii ni faraja na inamaana kubwa sana kwa Vijana na Tasnia nzima ya sanaa… Lakini kupitia hii post itufunze kuwa tukizidi kutumia sanaa zetu katika mambo chanya basi Serikali itazidi kutusapoti na kuhakikisha kazi zetu zinalindwa kwa ukubwa, na kupewa thamani na kipaumbele zaidi……Asante Mh Rais John Pombe Magufuli, Asante Ikulu, Asante Serikali yetu ya Awamu ya Tano, Asante Bongo Fleva🙏🏻 #ThisIsNewBongoFleva Maana halisi ya #MapinduziYaBurudani 🙏🏻 @ikulu_mawasiliano @ikulu_mawasiliano
Diamond ambaye kwa sasa yupo Simbawanga kwaajili ya tamasha lake la WasafiFestival hapo jana alikubali kubeba jukumu la kujitolea kuimalizia shule ya Msingi ya Simbawanga ambayo ilihitaji milioni 68 ili kuhakikisha imemalizika na kuanza kupokea wanafunzi mwezi Januari ambapo aliridhia kubeba jukumu hilo huku akiongezea kuwa yupo tayari kujitolea na mabati 150.