Baada ya Ushindi Mnono wa Simba Balozi wa Tanzania Nchini eSwatini Awafanyia Bonge la Part

Baada ya Ushindi Mnono wa Simba Balozi wa Tanzania Nchini eSwatini Awafanyia Sherehe
Mabingwa wa soka Tanzania Bara timu ya Simba jana ilijikuta ikivuna mvua ya mabao ambayo yakamuibua barozi wa Tanzania Nchini eSwatini na kuwaandalia bonge la part kwaajili ya kusherekea ushindi huo mnono.

Katika Hafla hiyo fupi Balozi Joseph Ndawala aliwapongeza kwa ushindi mkubwa wachezaji  walioupata wa bao 4-0 kwa Mbabene Swallows na kuwataka waongeze juhudi zaidi ili waweze kufanya vizuri zaidi katika michuano ya Kimataifa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad